February 2015



KO na Joh Makini.


Joh Makini amekutana na Rapa KO wa kundi la Tearsgas, halafu Joh ameweka picha Instagram wakiwa ndani ya studio na kuandika; “#Studio_flow with #KO @mrcashtime himself #2KINGS #ARUSHA_MEETS_JOHANNESBURG #2015 #GODENGINEERING #WEUSIMEETSCASHTIME #amonmyway” –@joh_makini

Katika harakati za kuhakikisha muziki unaenda kwenye level za kimataifa, tumeona juhudi za wasanii wetu wakiongeza nguvu na kujisogeza wenyewe kwenye level hizo kila siku.

Kila la kheri kwa mtu wetu MWEUSI Joh Makini kama kitatokea chochote kwenye muunganiko huu basi nitakusogezea pia.




Muda mrefu watu walianza kuitamani video baada ya single yao ‘Siri’ kuachiwa ili tuisikilize, uzuri wa huu wimbo ukausogeza pia kwenye chati za radio mbalimbali, sasa time hii Vanessa Mdee na Barnaba wamepokea mzigo wa hii video iliyokamilika kutoka mikononi mwa Director Hanscana