May 2016

Bondia mtaafu Floyd Mayweather analipia
milioni 2 za kibongo kila mara anaponyolewa
 nywele na kinyozi wake.  Kinyozi wake ambaye
 ni mwanamke anasema analipwa dola $1,000 per cut.”
Mayweather ananyolewa mara tatu kwa wiki.

Floyd Mayweather pays top dollar for the luxuries in
 his life including his cars, jewelry, food (private chef)
and his haircuts.  His personal barber posted a message
 on her Instagram account explaining when she got into
 the game and when she met Mayweather.
She explained that building a solid clientele and
making at least $500 a day was her mission.
 Well after becoming Mayweather's personal
 barber, she makes double that off giving him
one haircut.
Jackie Starr spoke with TMZ Sports and says,
 “It’s $1,000 per cut.”


Hospitali moja mjini Boston imekuwa ya kwanza nchini Marekani kufanya upasuaji kupandikiza uume.
Thomas Manning mwenye umri wa miaka 64 alipatiwa kiungo hicho baada ya kugundulika kuwa uume wake uliathirika na saratani.
Madaktari wamesema zoezi hilo limefanikiwa na kumfanya Manning kuwa mtu wa tatu dunia nzima kufanyiwa upasuaji huo.
Mmoja wa madaktari waliofanya upasuaji huko Boston ni Dicken Ko, amesema wanaume wanaopoteza maungo yao hupata athari za kisaikolojia kwa kuwa ni maeneo nyeti yanayoathirika wengi wao hawapendi kufahamika hadharani.
SOURCE: bbc.com/swahili

Watu wanaokadiriwa kuwa robo milioni wameandamana kwa lengo la kuipongeza klabu ya Leicester city iliyoibuka bingwa wa ligi kuu ya England baada ya miaka 132 ya historia yake.
Mistari miwili mikubwa pamoja na gari kubwa lililo wazi vilizunguka mji huo ulio katikati ya Uingereza.
Meneja wa Leicester Muitaliano Claudio Ranieri alisema kuwa mji mzima ulifurika watu waliokuwa wakiishangilia timu yao ambayo ilicheza kwa kujitolea sana.Baadaye akapaza sauri kwa nguvu akiuambia umati uendelee kusherehekea:''endeleeni kuota,msiamke!
Leicester walipewa nafasi moja tu kati ya 5000 ya kushinda taji hilo la ligi mwanzoni mwa msimu.
Rais wa Uganda Yoweri Museveni,amempandisha cheo mwanaye na kufikia ngazi ya Meja Jenerali.
Muhoozi Kainerugaba anatambulika kama mtu mwenye nguvu sana katika jeshi la nchi hiyo na wengi wanaamini kuwa anatengenezwa kwa ajili ya kumrithi baba yake ambaye amekuwa madarakani kwa miaka 30 sasa.



Jenerali Kainerugaba amepinga kuwa baba yake anajitengenezea siasa za kifalme, laikini pia akiweka wazi malengo yake ya kuwa mwanasiasa.
Museven alipata ridhaa ya kuiongoza Uganda kwa kipindi cha miaka 5 mwezi Februari kufuatia uchaguzi mkuu ambao pia ulishutumiwa vikali na jumuiya ya ulaya na Marekani.
Kundi maarufu la muziki kutoka Afrika Kusini Mafikizolo pamoja na staa wa bongofleva Diamond Platnumz leo walipata mwaliko wa kuingia Bungeni Dodoma ambapo mastaa hawa wapo Dodoma kwa ajili ya kupiga burudani  Chuo kikuu cha Dodoma.

“Unajua leo tuna show hapa Dodoma mimi na Mafikizolo hivyo serikali kupitia kwa Waziri Nape Nnauye walitualika bungeni japo ni kwa muda mchache lakini kitendo hiki kinaonyesha jinsi gani serikali yetu inajali wasanii, unajua hawa wenzetu wanapokuwa kwao na sisi tunapokwenda huwa tunapata mapokezi mazuri sana hivyo na mimi nashukuru kwa hili kwani itafanya hata wenzetu wajue serikali yetu inajali wasanii wake”. alisema Diamond Platnumz.



Mahakama ya Hakimu Mkazi Ilala imeiamuru kampuni ya Mawasiliano ya TIGO kuwalipa wasanii Hamis Mwinjuma ‘MwanaFA’ na Ambwene Yessaya ‘AY’ jumla ya shilingi bilioni 2.18 baada ya kutumia kazi zao za muziki bila ridhaa yao.

May 10, 2016, Mwanasheria maarufu nchini, Alberto Msando alipost picha Instagram akiwa kwenye mahakamu kuu ya Tanzania akiwa na rappers hao na kuandika: At the High Court of Tanzania, Dar Es Salaam. #UsijeMjini #DakikaMoja #Tigo #CopyrightsInfringement #stoppingwizi @aytanzania @mwanafa
Kwa mujibu wa gazeti la Thecitizen la Alhamisi hii, limeandika taarifa hii.
A court has awarded two Tanzanian musicians Sh2.18 billion in special damages in a landmark ruling that could set a precedent in the application of the copyright law in the country.The huge award was won by Bongo flava artistes Ambwene Yessaya “AY” and Hamisi Mwinjuma “MwanaFA” who had sued mobile phone company MIC Tanzania (Tigo), for unauthorised use of their music as caller tunes. A caller tune is a tone that is in the form of music that is heard by a person making a call as they wait for the person being called to answer the phone.
Ilala Senior Resident Magistrate Juma Hassan granted the award on April 11 after a four-year court battle between the parties. The award also includes a separate Sh25 million in general damages.
News of the fine against Tigo only came to light this week on Tuesday when the firm went to the High Court to block the execution of the award pending its appeal. History in the copyright field would be made should the High Court uphold the judgement by the Ilala District Court.
MwanaFA said it was time those who had in the past taken the basic copyright laws for granted realised that things have changed.
“This is a key moment in copyright in Tanzania. This is something that has been happening for quite a long time now mainly because of lack of knowledge and maybe because of the costs associated with such cases,” he said.
He added: “Nobody is supposed to use your work without your permission or agreement and if at all he has benefited then he is supposed to share with you according to the price tag you have set for your work.”
The mobile network operator has, however, filed for a stay of execution and has appealed against the judgment and decree for payment at the High Court. The appeal was initially set to be heard on Tuesday but was adjourned to tomorrow. The artistes claim that Tigo sold without permission in the form of caller tunes content that belonged to them without any agreement between the two parties. The two songs at the centre of the controversy are Dakika Moja and Usije Mjini, which were both done in collaboration by AY and MwanaFA.
Although there are no figures that were mentioned by both sides on the precise income derived from the sale of the two songs, the two artistes believe the company generated revenue.
According to the judgment, the artistes did not have any agreement with anyone to distribute the songs, they did not have an agreement with the defendant (Tigo) and neither did they contract a third party to handle this kind of distribution on their behalf.
The court in its decree states that the defendant infringed the rights of the plaintiffs over their registered joint authorship of musical work and in the process infringed the copyright and/or neighbourhood rights to which civil remedies are applicable.
The court, therefore, ordered the company to pay Sh 5 million as general damages and Sh2.16 billion as special damages in addition to the costs of the suit.
The artistes had in their application asked for damages totalling Sh4.3 billion, claiming that the defendant had generated a significant sum of income through the sale of their two songs to its subscribers across the country.
In recent years, mobile phone operators have been at the centre of a controversy over how much they pay artistes for using their content, with some singers claiming they were not benefiting from their work.
Customised mobile phone caller tunes in Tanzania are largely songs by Bongo Flava artistes.
According to the Journal of Intellectual Property Law and Practice, copyright subsisting in caller tunes and ringtones is similar to copyright protection in any other musical recording, comprising an underlying musical work and a sound recording which are protected under the Copyright Act.
This type of copyright protection in Tanzania is similar to those in South Africa, the United Kingdom, the United States and Jordan





[Verse 1 – Alikiba]
Ucheshi na sauti
Amenifanya nam-miss tu
Mwambie asiogope
Ali ni kipenzi cha watu
Ntafanya party nyumbani
Hiyo yote kwa ajili yake
Tena asije peke yake
Asiogope aje na wenzake
Ntafanya party nyumbani
Hiyo yote kwa ajili yake
Tena asije peke yake
Asiogope aje na rafiki zake eh
[Chorus – Alikiba]
Basi mwambie aje (aje)
Oh aje (aje)
Aje na rafiki zake (aje)
Asije peke yake (aje)
Oh aje (aje)
Aje, oh aje (aje)
Aje jamani aje (aje)
Aje nam-miss aje (aje)
[Verse 2 – Alikiba]
Uzuri wake timilifu
Nshamuona na watu maarufu tu
Kina Wema Sepetu
Nikaomba namba bichwa akanishushua shuu!
Ilinikosesha raha
Lulu nae kandanganya
Kwamba mi ni wa kwake
Aniogope tena asinichekee
Ilinikosesha raha
Lulu nae kandanganya oh
Kwamba mi ni wa kwake
Aniogope tena asinichekee
[Chorus – Alikiba]
Basi mwambie aje (aje)
Oh aje (aje)
Aje na rafiki zake (aje)
Asije peke yake (aje)
Oh aje (aje)
Aje, oh aje (aje)
Aje jamani aje (aje)
Aje nam-miss aje (aje)
[Verse 3 – M.I]
I say, I say, I say…
I’m gonna marry you one day
Come through baby girl
I just want us to speak
See we met on a Monday
You must be next Monday
Cause you make it one week
Have you been to the West side?
Forget whatever you seen on them Nollywood films
I wanna be your best guy
So let’s try till you testify no one’s better than him
So baby, give me your digits
Let me google map location, come and visit
You should show up in something exquisite
I can come over to yours, girl, where is it?
You could teach me to speak in Swahili
Like “sawa sawa, mambo vipi?”
Can you tell that I’m feeling you really?
Alikiba and M.I, my baby, I know that you feel me
[Chorus – Alikiba]
Basi mwambie aje (aje)
Oh aje (aje)
Aje na rafiki zake (aje)
Asije peke yake (aje)
Oh aje (aje)
Aje, oh aje (aje)
Aje jamani aje (aje)
Aje nam-miss aje (aje)
[Outro]
Come through, baby
I want you to come through, baby
Come through, baby
I want you to come through, baby
Come through, baby
I want you to come through, baby
Come through, baby
I want you to come through, baby