2017
Msanii Jason Derulo ameachia video mpya akiwa wimbo unaitwa “Swalla”, amewashirikisha Nicki Minaj na rapper Ty Dolla $ign, ikiwa ni single yake mpya kutoka kwenye album yake ya tano ya Jason ambayo itatoka mwaka huu.