Wakati akiwa Columbus kwa ajili ya show mwezi uliopita , Rapper kutoka Compton Kendrick Lamar aliwasuprise watu walioudhulia harusi hiyo bila taarifa (crush the wedding).
Kendrick akiwa na washikaji zake walivamia harusi hiyo na kuanza kucheza wimbo ambao ulikua unapiwa ukumbini hapo wa Whitney Houston “I Wanna Dance with Somebody”, mtu mmoja aliwashitukia kuwa walikua hawajaalikwa kwahiyo ikabidi awaulize kama wanafahamu wanaofunga ndoa, baada ya kushindwa kujibu, huyo mtu alibidi awafukuze, anasikika akiwaambia watoke “get the f**k out.”
Kwa mujibu wa TMZ kuna mtu mwingine alikuwa anamfahamu kendrick lamar kwa hiyo vitu vikaenda sawa. Tazama video hapo juu
Post A Comment:
0 comments so far,add yours