Video: Jason Derulo Ft Nicki Minaj & Ty Dolla $ign – Swalla
Official VIDEO | Diamond Platnumz Ft. Rayvanny Salome ( Traditional ) | Watch
New Audio | Abihudi M - Ya jana (Gospel Version)
Picha | Warembo kwenye video mpya ya Alikiba ni hatari
Hot News | Ngoma za Marekani zilizofanana mashairi na ngoma za Bongo zilizotangulia
Alikiba yuko mbioni kuachia silaha yake mpya. Staa huyo wa ‘Aje’ ameonjesha kidogo kile kitakachoonekana kwenye video ya ngoma yake mpya, na mashallah itakuwa na warembo haswaaa.
Staa huyo ameshare picha akiwa mbele ya jumba la kifahari na warembo wanane jijini Johannesburg, Afrika Kusini alikokuwa huko mwezi uliopita.
Post A Comment:
0 comments so far,add yours