Mwanamuziki kutoka Tip Top, Dogo Janja amesema anampango wa kurudi shule. Amesema hayo leo katika kipindi cha Clouds360 kupitia Clouds Tv.
Rapa Dogo Janja amesema kwamba linapokuja swala la Masomo , yeye sio kilaza. Ana uelewa wa hali ya juu na hivyo anaamini atarudi Shule.
Dogo Janja ameyasema hayo muda mfupi uliopita katika kipindi cha Clouds360.
Share To:

Red Chapter

Post A Comment:

0 comments so far,add yours