Dogo JANJA hivi karibuni aliachia nyimbo yake mpya inayo itwa MY LIFE. Nyimbo hiyo imefanyika ndani ya studio za MJ RECORDs chini ya Producer Macko Chali. Lakini baada ya uchunguzi wa kina kufanyika na wachambuzi wa mambo, imegundulika kuwa MARCO CHALI aliingiza tu sauti kwenye hile ngoma ya dogo janja...alicho kifanya dogo janja ni kumletea beat ikiwa imekamilka, Hiyo beat ni ya msanii kutoka NORWAY anaye fahamika kwa jina la ADMIRAL lakini dogo janja anadai kuwa beat ni mali ya producer.
Dogo janja yeye anasema hiyo beat alihifanyia akiwa anajua hayo yote kuwa ni beat ambayo ni ya mshikaji wa NORWAY
zIskilize hapa ngoma zote mbili alafu utapata jibu.
Post A Comment:
0 comments so far,add yours